.

.

.

KUJIUNGA NA PAGE YETU YA FB NA TWITTER BONYEZA HAPA >FACEBOOK<>TWITTER<

WACHINA NDANI YA SABA SABA


WACHINA nao hawakuwa nyuma kitu kilichonivutia ni usafi waliokuwa nao  na hawajapanga bidhaa nyingi kama wabongo wao zao chache tu na zinaonekana vizuri wako bize kuchati hawana muda wa kukukaribisha na wengi wanajua kingereza tu sasa st kayumba walikuwa wanaambulia patupu..bila kusaha vimini vilikuwa ni kiburudisho maana walipiga vimini vya uhakika ..kweli walikuwa bize kuonyesha kila bidhaa na ukitaka kukosha kiroho safi unakosha tu bila kudaiiwa pesa.
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...