Benki ya wanawake ilikuwa na bidhaa nyingi zinazo fanana za
wajasiliamali wengi wao wakiwa wakina mama kutoka mikoa yote hapa
nchini..walikuwa wamependa sana nilichopenda ni kusafi sana na bidhaa zao safi
wauzaji safi jengo safi na mpangilio wao ni mzuri..hongera yao..