haya sasa wapezi wa tv series hii ni ya kwenu tuone nan ataibuka kidedea hapa....kati ya hizi tatu prison break,nikita na 24....jadili fasta na wajanja wezako ndani ya facebook tembelea page yetu ya SK Network na utaipata picha hii itag kwa wezako uone mpambano unavyokuwaga mkali kila siku..ipi itashinda hapaaa???