ubishi ushe leo kuna jamaa anasema eti beyonce ndo mkali kuliko wote hapa je anapatia kweli...je ningemuweka na nick minaj ingekuwaje???jadili jimwage bila wasi ndani ya page yetu ya facebook kama kawa SK Network mjadala unahamia huko ..to choice yako hapa nani mkali kuzidi wote?????