.

.

.

KUJIUNGA NA PAGE YETU YA FB NA TWITTER BONYEZA HAPA >FACEBOOK<>TWITTER<

mgomo wa walimu wapingwa na serekali

kauli ya walimu ya kutangaza mgomo kuanzia tarehe 5 mwenzi.na kuwataka walimu nchi zima kuwaunga mkono katika mgomo wao ambao utafanyika tarehe 5 kama tu serekali itakuwa haija timiza matakwa ya walimu ya kuongezewa mshahara,kuboreshewa mazingira ya kufanya kazi na kuwapa motivation walimu wale wanaofanya kazi kwenye mazingira magumu..
kauli ya serekali
serekali imewataka walimu wasigome na wanaowashawishi kugoma kwa kuwatumia msg waache.(taarifa hii imetolewa kwa hisani ya eafm)
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...